Kufikirika di Shaaban Robert edito da Mkuki Na Nyota Publishers
Alta reperibilità

Kufikirika

EAN:

9789976083583

ISBN:

9976083580

Pagine:
68
Formato:
Paperback
Acquistabile con o la

Descrizione Kufikirika

Kwa zaidi ya miaka kumi na tano vitabu vya mwandishi maarufu kushinda wote katika jamii za Waswahili kote Afrika ya Mashariki na Kati, Marehemu Sheikh Shaaban Robert, havikupatikana Tanzania. Sababu ya kukosekana kwa vitabu hivyo ni kuwa kampuni ya kigeni iliyovichapisha iliamua kuacha kuvichapisha kwa sababu haikulipwa kwa fedha za kigeni jambo, lililosabishwa na hali mbaya ya uchumi. Athari za kupotea kwa vitabu vya Sheikh Shaaban Robert katika miaka hiyo ni kwamba Watanzania wengi hasa wale wenye umri chini ya miaka thelathini, hawamjui mwandishi huyu maarufu na hawakulelewa katika mazingira ya utajiri wa maandishi yake ambayo bila shaka yoyote ni mfano pekee wa utajiri wa urithi wa utamaduni wetu. Kwa kuvichapisha vitabu vya Marehemeu Sheikh Shaaban Robert tunawakaribisha tena Watanzania, hasa vijana kuvisoma, kuburudishwa na kufunzwa na yale aliyoyaandika kwa sanaa na kipaji adimu.Stories of imaginary kingdoms in Shaaban Robert looks at the society, explores systems of governance and responsibilities of rulers and the citizens.

Spedizione gratuita
€ 28.38
Disponibile in 10-12 giorni
servizio Prenota Ritiri su libro Kufikirika
Prenota e ritira
Scegli il punto di consegna e ritira quando vuoi

Recensioni degli utenti

e condividi la tua opinione con gli altri utenti